Header Ads

Dini yangu hairuhusu kumposti marehemu ‘Sam wa Ukweli’ kwenye mitandao ya kijamii-ALIKIBA

Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kwa mara ya kwanza kwanini huwa hawaposti wasanii au watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii pale wanapofariki.
Alikiba amesema sababu kubwa ya kutoposti picha kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ambapo amedai kuwa kufanya hivyo ni kinyume na dini yake ya kiislamu.
Tazama video hapa chini Alikiba akiongelea sakata hilo kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari uliofanyika leo Juni 7, 2018 jijini Dar es salaam

No comments