Makonda aomba radhi Ikulu “Rais sitorudia” (+video)
Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda akiwa mbele ya Rais Magufuli amesema nanukuu“Rais naomba radhi kwa tukio la jana watu wamelewa sana na nina uhakika kuna uwezekano watu hawajafika Maofisini, nitumie fursa hii kuomba radhi Maboss wote ndani ya DSM, hali ilikuwa sio hali nakuahidi Rais sitorudia hiki kitendo cha nusu bei”
Post a Comment