VIDEO:Pambano la Twaha Kiduku alivyompiga Mada Maugo mjini Morogoro
Bondia Twaha Kiduku aibuka mshindi dhidi ya bondia Mada Maugo katika pambano la uzito wa Kilogram 74.5 waliokuwa wakipambania mkanda wa ubingwa wa Taifa, pambano ambalo limefanyika katika mkoa wa Morogoro, pambano hilo la round 10 liliishia round ya nane baada ya Twaha kumpiga Maugo kwa TKO
Post a Comment